0:00
MICHEZO
Klabu ya Real Madrid wametangazwa machampioni wapya wa La Liga baada ya ushindi wa 3-0 walioupata dhidi ya Cadiz huku mahasimu wao wa Barcelona wakipokea kipondo cha 4-2 kutoka kwa Girona na kuzima matumaini ya kutokea maajabu kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu nchini Uhispania
Madrid wametangazwa mabingwa baada ya kufikisha alama 87 kwenye michezo 34 tu alama ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote wakati huu michezo minne ikiwa imesalia kabla ya kutamatishwa rasmi kwa msimu wa ligi hiyo.
Huu ni ubingwa wa 36 wa La Liga kwa Real Madrid huku likiwa taji la sita la ligi kuu kwa mwalimu Carlo Ancelotti aliyetwaa mataji kwenye ligi zote kubwa Ulaya ambapo kwa Hispania ni mara yake ya pili kubeba taji la ligi kuu.
Related Posts 📫
MAKALA
Kwenye maisha kuna siri nyingi basi leo nakupa siri...
MAPENZI
1. WOGA.
Vijana wengi wana woga wa kuoa na...
CELEBRITIES
The spokesperson of the police command, said that Adanma...
Makala
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association...