Siri yafichuka AZIZ KI kumvuta nyota huyu wa Simba kujiunga Yanga

0:00

TETESI

Staa wa Yanga Aziz Ki ni swahiba mkubwa wa Chama. Ndani na nje ya maisha ya soka ni marafiki wakubwa. Haijaishia hapo, wawili hao kwa mara kadhaa wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye ‘gym’ moja iliyopo Mikocheni Dar es Salaam. Ni gym ambayo mastaa wengi hufanya mazoezi pale akiwemo Luis Miquissone,pacome zouzoua ,yao.

Hivi karibuni kuna jambo kubwa kwenye soka linakwenda kutokea. Achana na ubingwa wa Yanga , lakini kuna lingine ambalo linalomhusisha staa wa Simba, Mzambia Clatous Chama kusaini mkataba mpya katika moja ya timu kubwa
Afrika, huku Stephane Aziz Ki akimvuta Jangwani Mwamba huyo wa Lusaka.

Chama yupo Dar es Salaam na anaishi kifahari huku simu yake ikiwa bize kuita namba za mabosi wa timu mbalimbali Afrika zinazotaka huduma yake kwa msimu ujao zikiwemo kutoka kwa mabosi wake wa sasa, Simba, sambamba na mabingwa wa ligi , Yanga sc.

Mkataba wa Chama na Simba unaisha mwishoni mwa msimu huu na tayari uongozi wa Wekundu wa Msimbazi hao kujiunga mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya mchezaji huyo ambaye ni kipenzi cha mashabiki lakini hadi sasa hawajakubaliana jambo na hajasaini mkataba mpya.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

"The kid is special " Gary Lineker...
Former England international and Leicester City legend Gary Lineker has...
Read more
Mwijaku atakiwa kulipa shilingi bilioni 5 kwa...
Wakili wa Masoud Kipanya mtangazaji maarufu ambaye pia ni mchambuzi...
Read more
Why Biologically Women are More Cleverly In...
LESSONS FOR YOUNG MEN. Women are born manipulators but men are...
Read more
9 WAYS WHY WOMAN WANTS A MAN...
Love ❤ 1. When a girl notices that she can...
Read more
Bola Tinubu of the ruling party has...
President Tinubu has dismissed Solomon Arase from his position as...
Read more
See also  AL AHLY YAONDOLEWA KLABU BINGWA YA DUNIA

Leave a Reply