0:00
CELEBRITIES
SITAKI MTOTO NJE YA NDOA
Mwanamziki wa RNB Juma Jux amevunja ukimya baada ya watu wengi kumjia juuu kuhoji kwanini Mwanamziki huyo anabadili sana wanawake ila hapati kabisa mtoto kwa wanawake wote anaokuwa nao.
Kupitia mahojiano hayo Juma Jux ameweka wazi kuwa hayupo tayari kupata mtoto na mwanamke yoyote ambaye hajafunga nae Ndoa, Kwa muktadha huo Juma Jux inaonesha hayupo tayari Kabisa Kupata Mtoto akiwa nje ya ndoa.
Ikumbukwe hadi Sasa Juma Jux amekuwa kwenye Mahusiano na Jacklin Cliff, Vannesa Mdee, Jacqueline Wolper, na Kalen Bujulu hao ni wa Hapa Nchini tuu ila Wote hao wamepita salama Kwa Juma Jux bila kula ndimu na Udongo.
Related Posts 📫
New Zealand's chances of delivering a famous series whitewash in...
MICHEZO
Ivory Coast imepanda nafasi 10 duniani kwenye msimamo wa...
MICHEZO
Cristiano Ronaldo ameikataa penati aliyokuwa amezawadiwa na Refa kwenye...
HABARI KUU
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya...