SIMBA IJAYO ITAKUWA TAMU YAMNASA HUYU

0:00

MICHEZO

Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 2024, mwaka huu, Klabu ya Simba imeanza tena mchakato wa kusaka huduma ya winga na kiungo mshambuliaji wa Ihefu, raia wa Togo, Marouf Tchakei.

Simba SC imepania kwa kiasi kikubwa kufumua kikosi chake na kutengeneza timu mpya yenye ushindani kwa ajili ya msimu jao wa mashindano, inapiga hodi kwa kiungo huyo ambaye anacheza namba moja na Clatous Chama.

Habari kutoka ndani ya Simba SC zinasema huenda safari hii wanaweza nyota huyo kirahisi kutokana na kilichoelezwa pia nyota huyo yuko tayari kupata changamoto mpya lakini bado anabanwa na mkataba wake.

Chanzo kingine kutoka Ihefu kimesema bado ana mkataba, hivyo kama Simba SC inamhitaji italazimika kufanya mazungumzo.

“Tulimhitaji dirisha dogo la usajili, lakini ilishindikana, klabu yake iliweka ngumu lakini mwenyewe alikuwa radhi kujiunga na timu yetu, akatuambia tusubiri msimu uishe atakuwa huru, sisi tunasimamia pale pale, lakini kama itakuwa vinginevyo basi tutaangalia itakavyokuwa lakini ni lazima tumng’oe, tumejidhihirisha ni mchezaji mzuri na atatusaidia sana, ameshaifahamu Ligi ya Tanzania na ameizoea,” amesema mtoa taarifa hizi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Manchester United appoint Portuguese Ruben Amorim as...
MANCHESTER, England, 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Manchester United have named Portuguese Ruben...
Read more
WHY MARRIAGE IS NOT A COMPETITION
Stop competing with your spouse who earns more and who...
Read more
THE FULL MEANING OF THE WORD "WIFE"...
LOVE ❤ Some of people will ask, what is the...
Read more
Ten-man Dortmund slump to 3-1 loss at...
MAINZ, Germany,🇩🇪 - Champions League competitors Borussia Dortmund slumped to...
Read more
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepiga marufuku...
Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai...
Read more
See also  MPANGO WA PARIS ST-GERMAIN KWA VICTOR OSIMHEN

Leave a Reply