0:00
HABARI KUU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askofu wa Makanisa ya Methodist Tanzania Askofu Joseph Bundala, amekutwa amejinyonga katika Ofisi za kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Sulungai Meriwa kata ya Ipagala jijini Dodoma, huku ikidaiwa kabla ya kuchukua uamuzi huo marehemu aliacha ujumbe wa kuwa amechukua uamuzi huo, kutokana na madeni pamoja na yeye kudai.
Related Posts 📫
Delay the climax. Don't rush so that when the orgasm...
LONDON, - New Zealand coach Scott Robertson hailed his side's...
MICHEZO
Manchester United wamepata sare ya 2-2 nyumbani dhidi ya...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...