0:00
MICHEZO
Mchezaji wa zamani wa PSG, Kylian Mbappe siku ya jana Mei 16, 2024 huko Paris nchini Ufaransa, alizindua sanamu lake katika Nyumba ya Makumbusho ya Madame Tussauds, na kuzua gumzo kutokana na kufanana kwa kiasi kikubwa na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
Wakati wa hafla hiyo iliyohudhuriwa na Baba yake Mbappe (Wilfrid) na marafiki zake wa karibu, sanamu hilo lilionesha pozi maarufu la kushangilia ambalo Mbappe hulitumia.
Sanamu hiyo inasimama kama ishara ya athari ya kudumu ya Mbappé kwenye mchezo wa Soka na uwezo wake wa kuungana na mashabiki duniani kote.
Related Posts 📫
Sadio Mané, nyota wa soka wa Senegal, alifunga ndoa na...
In a bold move reflecting the ongoing tensions in the...
Biles soared high into the air as she performed her...
1) FEAR (MARRIAGE PHOBIA)
Many bachelors actually fear Marriage
They fear the...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...