0:00
HABARI KUU
Mbunge wa Iringa Mjini, Jescar Msambatavangu amesema mipango ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imegusa wanawake pekee ambapo ameomba Rais aunde wizara mpya itakayohusika na wanaume ikiwemo kuwawezesha kiuchumi
Msambatanagu ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa fedha 2024/2025
“Tunataka wanaume wawezeshwe kiuchumi ili waache mambo ya ubakaji na ulawiti, tunataka mabinti zetu waolewe na wanaume hizi tamaa zao watakwenda kuzipeleka kwa wake zao” amesema Msambatavangu
Related Posts 📫
MILAN, - AC Milan substitutes Noah Okafor and Samuel Chukwueze...
During his vetting before the National Assembly Committee on Appointments,...
Trevor Clevenot was France's creative all-round star after he top-scored...
RIYADH, - Aryna Sabalenka began her quest to secure the...
Renowned Nigerian comedian Aloma Isaac Junior, widely recognized as Zicsaloma,...