Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie Ventura

0:00

NYOTA WETU

Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amezungumzia juu ya video ya mwaka 2016 iliyovuja hivi karibuni ikimwonesha akimshambulia kwa kumkamata, kumsukuma, kumsukasuka, kumburuza na kumpiga mateke mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura.

Kutokana na video hiyo Diddy ameomba radhi juu ya kitendo alichoonekana akikifanya na kukubali kuwajibika kwa aliyoyafanya huku akiahidi kuwa mtu mwema na akijutia kwa kile aliyoyafanya.



“Tabia niliyoionesha kwenye video hiyo siwezi kuitetea. Ninawajibika kikamilifu kwa vitendo vyangu kwenye video hiyo,”

amesema Diddy kwenye taarifa yake ya video iliyochapishwa kwenye Instagram.

Video ya shambulio lake iliibuka katikati ya kesi ya hivi majuzi ya aliyofungua Cassie dhidi yake Diddy, ambapo amemshutumu kwa kumfanyia unyanyasaji kwa miaka mingi.

Video

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

CHADEMA YAAMIA KWA BUNGE ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Kwanini Biden amekiri kuzidiwa na Donald Trump?
Rais wa Marekani Joe Biden kwa mara nyingine, amekiri kuwa...
Read more
Fonseca lauds Milan character after tough win...
AC Milan manager Paulo Fonseca acknowledged the challenges posed by...
Read more
Novak Djokovic will face Carlos Alcaraz in...
Djokovic, holder of a men's record 24 Grand Slam titles,...
Read more
MFAHAMU MWANAUME MWENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI
NYOTA WETU Muigizaji mtanashati kutoka Marekani Michael B Jordan amefunguka...
Read more
See also  HOW DO I AVOID DISAPPOINTMENT IN A RELATIONSHIP?

Leave a Reply