0:00
HABARI KUU
Jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limetangaza kuwakamata washukiwa wa shambulio katika Ikulu ya Rais jijini Kinshasa, shambulio linalodaiwa kuwa jaribio la Mapinduzi.
Waliokamatwa ni pamoja na Christian Malanga raia wa DRC anayeishi Marekani akiwa miongoni mwa waliokuwa wameongoza kundi lililohusika na shambulio hilo.
Kundi hilo lilikuwa limeshikilia bendera ya Zaire kabla ya kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakiimba nyimbo zilizoashiria utawala wa enzi za Rais Mobutu.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari msemaji wa jeshi nchini DRC, Sylvain Ekenge amesema kuwa wamezima jaribio la mapinduzi lililofeli majira ya saa kumi za alfajiri.
Related Posts 📫
Tottenham Hotspur will appeal against the length of Rodrigo Bentancur's...
MICHEZO
Mchezaji wa Manchester City, Erling Haaland huenda akaadhibiwa...
MICHEZO
Inaripotiwa kuwa klabu ya Al-Nassr kutoka ligi kuu ya...
CELEBRITIES
Nigerian media personality, Toolz, has announced that if she...
Cardi B has once again stirred the pot in her...