MAKALA
1.Rolls-Royce Droptail inaongoza katika orodha ya magari yanayouzwa bei ghali zaidi duniani likiwa linauzwa kwa Dola za Marekani milioni 30.
2.Pagani Huayra Codalunga linashika nafasi ya pili kwa kuuzwa Dola za Marekani Milioni 7.
3.Bugatti Mistrail linashika nafasi ya tatu kwa kuuzwa Dola za Marekani Miliion 5.
4.Bugatti Bolide liko nafasi ya nne kwa kuuzwa Dola za Marekani Milion 4.3.
5.Aspark OWL nafasi ya tano kwa magari ya bei ghali zaidi duniani. Bei yake ni Dola za Kimarekani Milion 4.2.
6.Mclaren Solus GT linashika nafasi ya sita bei yake ikiwa ni Dola za Marekani Milion 4.
7.Gordon Murray Automative T.50S Niki Lauda linashika nafasi ya saba kwa magari yanayouzwa bei ghali zaidi duniani. Bei yakeni Dola za Marekani Milion 3.9.
8.Koenigsegg CC850 nafasi ya nane likiuzwa kwa Dola za Marekani Milion 3.7
9.Bugatti Chiron Pur Sport nafasi ya tisa kati ya magari ya bei ghali zaidi duniani likiuzwa Dola za Marekani Milion 3.6.