HABARI KUU
Helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran imepata ajali magharibi mwa nchi hiyo leo na vikosi vya uokoaji vimetumwa kuitafuta.
Waziri wa mambo ya ndani wa Iran Ahmed Vahidi amesema hali mbaya ya hewa na ukungu mzito ndiyo chanzo cha ajali hiyo na kwamba huenda itachukua muda kwa vikosi vya waokoaji kulifikia eneo la mkasa.

Related Content
Related Content
Related News 
Taarifa za kuuawa kwa Katibu Mkuu wa Chama cha siasa...
CELEBRITIES
Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside...