0:00
MICHEZO
Bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk ameshinda pambano dhidi ya bondia wa Uingereza Tyson Fury kwa pointi 115-112, 114-113, 113-114 na kuwa Bingwa wa Dunia wa uzito wa juu “Undisputed Heavyweight World Champion” usiku wa kuamkia leo.
Usyk anaweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kushinda pambano dhidi ya Fury ambaye kabla ya pambano hili, alikuwa amecheza mapambano 35 bila kupoteza.
Rekodi ya Usyk
◾️Mapambano 22
▪️Ushindi 22
▪️Ushindi kwa KO 14
▪️Ushindi kwa Point/Decision – 8
VIDEO
Related Posts 📫
The High Court has imposed a six-month prison sentence on...
The Deputy National Spokesman of the Peoples Democratic Party (PDP),...
Speaking at the opening ceremony of the 2024 Summit of...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
MICHEZO
Rais wa chama cha Soka Zambia Andrew Kamanga amekamatwa...