MAKALA
Jambo la kwanza la kuzingatia inapokuja suala la kuchagua gari rasmi la Viongozi mbalimbali duniani, hasa Kiongozi wa nchi yoyote ni usalama, kisha mambo mengine hufuata.
Viongozi wanapofikiria magari ya kutembelea huzingatia Usalama, Ubora, Kasi, Teknolojia na thamani yake kujitofautishfa na watu wa kawaida.
Haya ni Magari ya 10 ya gharama yanayomilikiwa na Viongozi mbalimbali duniani;
10.Fumio Kishida (Japan) – Toyota Century $130,000
9.Vladimir Putin ( Urusi) – Aurus cenat $250,000
8.Taamim bin hammadi Al Thani ( Qatar)- Brantley Mulan Grand Limousine $310,000
7.Felipe VI (Uhispania ) – Rolls Royce Phantom VI $445,000
6.Paul Biya ( Cameroon)- Range Rover Sentinel $500,00
5.Scott Morrison ( Australia)- BMW 7 Series $550,000
4.Kim Jong Un (Korea Kaskazini) – Mercedes Maybach S 600 Pullman Guard $1,800,000
3.Joe Biden (Marekani) – Cadillac – The Beast $2,000,000
2.King Charles II ( Uingereza)- Bentley state Limousine $11,250,000
1.Hassanal Bulkiah (Brunai) – Rolls Royce Silver Spur 2 $14,000,000