0:00
MICHEZO
Nahodha wa kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta ameisaidia klabu yake ya PAOK ya nchini Ugiriki kushinda kikombe cha ligi soka nchini humo yaani Super League.
PAOK wamekuwa mabingwa wa ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aris walipokuwa ugenini, huku Samatta akiingia katika pambano hilo katika dakika ya 65.
Kikombe hicho kimemfanya Samatta awe na mataji mawili ya ligi aliyotwaa barani ulaya, moja akilitwaa akiwa na KRC Genk lingine akilwa na PAOK.
Related Posts 📫
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi ameiahidi mahakama...
NI KESI INAYOHUSU TUHUMA ZA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE BINTI...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
MAPENZI
Ikiwa leo ni siku ya Valentine basi kwa wana...