0:00
HABARI KUU
Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozuia mwishoni mwa wiki iliyopita liliongozwa na Mwanasiasa Christian Malanga mwenye uraia wa DR-Congo (DRC) lakini makazi yake yapo nchini Marekani akiwa na Kundi la Wanajeshi waasi.
Msemaji wa Jeshi la DRC amesema Watu 50 akiwemo mtoto wa Malanga na raia wa Marekani wamekamatwa huku Malanga akiuawa katika jaribio hilo lililoanza kwa kuvamia makazi ya viongozi wakuu wa Serikali wakiwemo Rais Felix Tshisekedi, Spika wa Bunge na Waziri Mkuu na pia mwanasiasa Vital Kamerhe.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, imedaiwa kuwa kwa takriban siku 3 nchi hiyo ilikuwa katika majaribio ya Mapinduzi ambayo Jeshi limeeleza kuwa limefanikiwa kuyazima na kurejesha hali ya utulivu.
Related Posts 📫
HABARI KUU
Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho...
HABARI KUU
Waziri Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...
MAGAZETI
Magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi...
NYOTA WETU
Muigizaji mkongwe na mshindi wa tuzo za Oscar...
Linus Williams, a prominent figure in the Cryptocurrency industry and...