0:00
BREAKING NEWS
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Iran, Ebrahim Raisi umepatikana pamoja na wa Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na maofisa wengine waliofariki katika ajali ya Helikopta Mei 19, 2024.
Nchi hiyo imeshatangaza kifo cha Ibrahim Raisi, aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika ajali iliyotokea Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo.
Miili hiyo imepatikana kwenye mteremko wa Mlima katika eneo la Varzaghan, karibu na mpaka wa Azerbaijan Mashariki.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, hali mbaya ya hewa imetajwa kuwa sababu ya kutokea kwa ajali hiyo iliyopoteza vifo vya viongozi hao.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
CELEBRITIES
Pero Adeniyi, the second baby mama of the renowned...