0:00
MICHEZO
Klabu ya Newcastle United inaandaa ofa ya kumsajili Mlinda Lango wa Valencia, Giorgi Mamadashvili.
Kipa huyo kutoka nchini Georgia anatarajiwa kuuzwa na Los Che msimu huu wa majira ya joto.
Gazeti la The Times limeripoti kuwa, Newcastle wana nia ya kumpeleka Mamadashvili nchini England, ili kumpa changamoto Mlinda Lango wao wa sasa Nick Pope.
Mamadashvili kwa sasa anatazamwa kuwa miongoni mwa Walinda Lango bora kwenye Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’.
Valencia inahitaji Pauni Milioni 35, ili kuafiki dili la kumuuza Mlinda Lango huyo mwenye umri wa miaka 23.
Related Posts 📫
Michezo
Aliyekuwa mchezaji wa Fountain Gates Princess Academy Peris...
BIASHARA.
Kitu chochote imara hujengwa kwa msingi imara ,hivyo hata...
WOLVERHAMPTON, England, 🏴 - Wolverhampton Wanderers’ fastest goal in their...
Barcelona winger Lamine Yamal has won the 2024 Golden Boy...