Liverpool yamtangaza Arne Slot kumrithi Jurgen Klopp
MICHEZO Klabu ya Liverpool imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi Arne Slot, kuwa mrithi wa Jurgen Klopp aliyeondoka klabuni hapo juzi Jumapili (Mei 19).…
MICHEZO Klabu ya Liverpool imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi Arne Slot, kuwa mrithi wa Jurgen Klopp aliyeondoka klabuni hapo juzi Jumapili (Mei 19).…
MICHEZO Klabu ya Chelsea iko tayari kumuuza Trevoh Chalobah kwa Pauni Milioni 25 msimu huu wa joto na inapania kutoa ofa kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 24. Kwa…
MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Misri Mohamed Salah ameonesha nia ya kutaka kubaki Liverpool, licha kuhusishwa na mpango wa kutaka kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Mshambukliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango…
MICHEZO Kocha Mkuu wa Kikosi cha Tottenham Ange Postecoglou ameushinikiza Uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unafanya usajili wa wachezaji angalau watatu wapya, ambao wataongeza nguvu kwenye kikosi chake msimu ujao…
MICHEZO Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu za Chelsea na Manchester United Radamel Falcao ametangaza kuachana na Klabu ya Rayo Vallecano ya Hispania. "Mkataba wangu unaisha Juni 30 na kisha nitaangalia…
NYOTA WETU Ebrahim Raisolsadati maarufu kama Ebrahim Raisi aliyekuwa amefikisha miaka 64, alikuwa akipigiwa upatu kuwa mrithi anayeweza kukalia kiti cha Ayatollah Ali Khamenei kama Kiongozi Mkuu, nafasi ambayo ni…
MICHEZO Kiungo kutoka nchini Ujerumani na Klabu ya Real Madrid Toni Kroos amesema atastaafu kandanda baada ya Fainali za Mataifa ya Barani Ulaya Euro 2024, zitakazounguruma mwezi ujao. Msimu huu…
MICHEZO Klabu ya Newcastle United inaandaa ofa ya kumsajili Mlinda Lango wa Valencia, Giorgi Mamadashvili. Kipa huyo kutoka nchini Georgia anatarajiwa kuuzwa na Los Che msimu huu wa majira ya…
HABARI KUU Maelfu ya watu wamekusanyika katikati mwa mji mkuu wa jimbo la Azerbaijan Mashariki, wakiomboleza huku wakiwa wamebeba picha za aliyekuwa rais wa Iran, Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali…
MICHEZO Aliyekuwa Mhamasishaji wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhan Manara, amelishauri Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ kuelekea mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho ‘CRDBFC’ utakaopigwa Mkoani Manyara,…