0:00
MICHEZO
Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu za Chelsea na Manchester United Radamel Falcao ametangaza kuachana na Klabu ya Rayo Vallecano ya Hispania.
“Mkataba wangu unaisha Juni 30 na kisha nitaangalia ni chaguo gani.
“Najisikia vizuri, nataka kuendelea kucheza, hivyo tutaangalia mpango huo kwa umakini, mimi na familia yangu ambayo ina uzito mkubwa katika uamuzi huu.
“Hakuna jambo ambalo limejadiliwa na klabu, kubaki kwenye La Liga ni jambo muhimu sana kwa Rayo Vallecano hasa kwa mashabiki wake, ambao huwa wanatupa ushirikiano kila mara, asante kwa miaka hii mitatu na ninawatakia Rayo mafanikio tele kwa siku zijazo. “
Related Posts 📫
Nigerian singer Portable, known for his controversial persona, has shared...
Ndume said the new office does not reflect his seniority...
HABARI KUU
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema...
NYOTA WETU
"Mimi nilitolewa bikra mara mbili, mara ya kwanza...
SHYNESSMost women are shy to the extent of finding it...