HABARI KUU
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemzawadia Rais wa Burundi Evariste Nayishimiye ndege aina ya Tausi kama kumbukumbu ya uhusiano, urafiki na ujirani mwema baina ya nchi hizo mbili.
Burundi na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri, Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zilizoisaidia Burundi kupata uhuru wake.
Zawadi hiyo imekabidhiwa kwa Rais Evariste Ndayishimiye, kupitia wajumbe maalum wa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mei 19,2024.
Related Content
Related News 📫
In a bold move, Manchester City striker Erling Haaland has...
LONDON, - Much of the focus in the early weeks...