0:00
MICHEZO
Kiungo kutoka nchini Ujerumani na Klabu ya Real Madrid Toni Kroos amesema atastaafu kandanda baada ya Fainali za Mataifa ya Barani Ulaya Euro 2024, zitakazounguruma mwezi ujao.
Msimu huu 2023/24 unakuwa wa mwisho kwa kiungo huyo kucheza soka katika ngazi ya Klabu akiwa na Real Madrid.
Kroos alisajiliwa Real Madrid mwaka 2014 akitokea FC Bayern Munich kwa dau la Pauni Milioni 25.
Related Posts 📫
Human beings are spirits; you call for their wrath when...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Sean Dyche's side suffered a thoroughly miserable start to the...
CELEBRITIES
"Bobrisky is not our problem; leave him alone" –...