0:00
MICHEZO
Kinara wa ufungaji kwenye Fainali za Mataifa ya Bara la Afrika ‘AFCON 2023’ Emilio Nsue López ambaye alitangaza kustaafu baada ya kutofautiana na Uongozi wa Shirikisho la soka la Guinea ya Ikweta, amebatilisha uamuzi wake.
Mshambuliaji huyo aliyefunga mabao matano ametangaza kurejea kwenye majukumu ya kuitumikia Guinea ya Ikweta, katika harakati za kusaka nafasi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026.
Emilio Nsue anarejea baada ya vikao mfululizo vilivyofanywa ili kumshawishi kurejea ndani ya timu ya taifa na hatimaye amekubali kushawishika.
Nsue atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaojumuishwa kikosini kwa ajili ya michezo miwili mwezi Juni.
Related Posts 📫
The duo have booked their spot in the quarter-finals of...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, ambaye pia ni...
ParisSaintGermain is close to signing Victor Osimhen. The former Napoli...
Juventus midfielders Timothy Weah and Nicolo Fagioli are fit to...
The music icon reportedly d!ed on Tuesday night, July 30,...