0:00
HABARI KUU
Watu 11 wamefariki Dunia kufuatia Hitilafu ya mitambo iliyotokea ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kinachohusika na Uzalishaji wa Sukari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema
“Tukio limetokea Saa 7:30 Usiku kuamkia leo Mei 23, 2024, kulitokea hitilafu katika mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme. Waliofariki ni Wataalamu wa Umeme na Mitambo ambao walikuwa kwenye chumba cha kudhibiti mitambo hiyo”
Amesema kati ya waliofariki kuna Raia watatu wa kigeni kutoka Kenya, India na Brazil ambapo miili ya wote waliopoteza Maisha imehifadhiwa Hospitali ya Mtibwa Sugar huku majeruhi wawili wakiwa wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni ya Bwagala.
Related Posts 📫
On the afternoon of Wednesday June 12, 2024, Tangipahoa Parish...
Coco Gauff beat defending champion Iga Swiatek 6-3 6-4 at...
MUNICH, Germany, 🇩🇪 -
Bayern Munich have failed to record...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...