ERIC TEN HAG KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED

0:00

5 / 100

Tangu mwaka 1990 miaka 34 sasa Klabu ya Manchester United haijawahi kumaliza Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa nafasi ya chini ya kushindwa kushiriki michaano ya klabu bingwa Ulaya ambapo katika msimu huo wa 1989/1990 walimaliza wakiwa nafasi ya 13.

Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, wamiliki wenza wa United, Sir Jim Ratcliffe na Ineos wameamua kuachana na Kocha Ten Hag hata kama Mholanzi huyo atafanikiwa kutwaa kombe la FA mbele ya Manchester City.

Thomas Tuchel, Mauricio Pochettino, Kieran McKenna, Thomas Frank na Graham Potter watatajwa kuchukua nafasi ya Ten Hag.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Kitisho cha Ziwa VICTORIA kuumeza Mkoa Kagera
HABARI KUU Mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mzee Pius Ngeze...
Read more
SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI...
HABARI KUU Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake...
Read more
LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED HAKUNA MBABE ...
MICHEZO Manchester United wamepata sare ya 2-2 nyumbani dhidi ya...
Read more
Roberto De Zebri kwenye rada za Bayern...
MICHEZO Jina la Kocha Mkuu wa Klabu ya Brighton &...
Read more
MALAM BACAI SANHA JR AHUKUMIWA MIAKA 6...
HABARI KUU Mahakama nchini Marekani imemuhukumu kifungo cha zaidi ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Transforming Lives through Compassion and Service: The Remarkable Legacy of Hon. Abdisirat Khalif Al

Leave a Reply