Hatimaye Rais wa Klabu ya FC Barcelona Joan Laporta amemfuta kazi kocha mkuu wa klabu hiyo Xavi Hernandez

0:00

4 / 100

Xavi ametimuliwa klabuni hapo wiki chache tu baada ya kushawishiwa kubadili uamuzi wake wa kujiuzulu kuifundisha timu hiyo alioutangaza katikati ya msimu

Meneja wa zamani wa Bayer Munich na timu ya Taifa ya Ujerumani Hansi Flick tayari amesaini kuchukua mikoba ya Xavi na meneja huyo ataambatana na wasaidizi wake wawili kutoka Ujerumani


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kongamano la Uswizi: Putin na Utata wa Masharti ya Kusitisha Mapigano
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading