0:00
Baada ya Taarifa kusambaa Mitandaoni kuhusiana na Hamisa Mobetto ambaye ni Mwana mitindo maarufu nchini Tanzania kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Azizi Ki ambaye ni mchezaji kutoka Klabu ya YOUNG SPORT CLUB.
Hivyo Kwa maelezo ya Hamissa Mobetto Baada ya kuhojiwa na Chombo kimoja cha TV amesema kuwa,
kwasasa yupo Single na ukaribu wake yeye na Azizi ni urafiki tu.
“Sipo katika Mahusiano yoyote nipo single, Azizi ni rafiki yangu na sio mbaya kuonekana nikiwa na rafiki yangu na wazoee tu kuniona naye, mimi namarafiki wengi sana wakiume kwahiyo nashangaa imekuwa kama taarifa yakushtusha mimi kuwa na Azizi ki” amesema Mobetto
Related Posts 📫
MEXICO CITY, - Bam Adebayo won an Olympic gold medal...
The actor, aged 46, took to Instagram to share the...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda amepandishwa...
The Teachers Service Commission (TSC) has informed the Education Committee...
Emefiele’s move comes in response to a series of court...