Mtibwa Sugar imeshuka daraja rasmi toka Ligi Kuu ya NBC kwenda ligi ya Championship msimu ujao.

0:00

4 / 100

Walima miwa hao wa Morogoro wameshuka daraja baada ya kufungwa magoli 3-2 na Mashujaa FC ya Kigoma kwenye dimba la Lake Tanganyika.

Mtigwa Sugar ilipanda daraja mwaka 1995, hivyo imecheza ligi kuu kwa misimu 29.

Ilibeba taji la Ligi Kuu mwaka 1999 na mwaka 2000, pia mwaka 2018 walichukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho na leo Mei 25/2024 imeshuka daraja.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related News 📫

SIMBA YAFUNGULIWA KUSAJILI
MICHEZO Shirikisho la mpira wa miguu ( FIFA ) limeiondolea...
Read more
Muhammad Mukhbar Rais wa mpito Iran
NYOTA WETU Makamu wa Rais wa Iran, Muhammad Mukhbar anajiandaa...
Read more
$220m Fine: FCCPC replies WhatsApp over Nigeria...
The Federal Competition and Consumer Protection Commission has described Meta’s...
Read more
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP...
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar,...
Read more
See also  Former France captain Amandine Henry retires from international duty

Leave a Reply