Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa ana uhakika wa ushindi katika Mdahalo wake utakaofanyika Juni 27 dhidi ya Rais wa sasa wa taifa hilo Joe Biden.

0:00

6 / 100

Watu wa karibu wa Trump wanaamini hata kama Trump atashinda katika Mdahalo huo, lakini waendesha mashtaka wa Serikali watamjia juu kutokana na mashtaka yanayomkabili dhidi ya utakatishaji Fedha na Rushwa.

Trump analishinikiza Baraza la Wabunge nchini humo kuunda Sheria ya usalama kwa viongozi wa juu wa taifa hilo.

Trump amekuwa akizungumza na Wabunge wa GOP na wafanyakazi wake kuhusu kupitisha sheria hiyo katika muhula wake wa pili wa kuwalinda marais wa zamani dhidi ya mashtaka yasiyo ya shirikisho.

Jambo hilo limewashangaza watu wengi waliohoji maswali, ni sahihi kwa Raisi kupindisha au kutengeneza sheria mpya kwa ajili ya kujilinda yeye mwenyewe?

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MASTAA WA MAREKANI WANAVYOITUMIA SUPER BOWL KUKUA...
MAKALA Kampuni ya muziki ya APPLE huwa inatoa kiasi cha $50...
Read more
WHAT IT TAKES TO MAKE A GOOD...
LOVE TIPS ❤ When a man treats his woman right,...
Read more
DATING VERSUS COURTSHIP WHAT IS THE DIFFERENCE...
LOVE ❤ Can a Christian date? This is a controversial...
Read more
WHAT EVERY WOMAN NEEDS TO KNOW ABOUT...
Your biggest enemy is yourself. That enemy is the one...
Read more
SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI...
HABARI KUU Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake...
Read more
See also  QUALITIES OF AN EXCELLENT HUSBAND

Leave a Reply