0:00
“Wakenya wenzangu, nimeona wasiwasi wenu kuhusu njia yangu ya usafiri hadi Marekani. Kama msimamizi anayewajibika wa rasilimali za umma na kulingana na azimio langu la kuishi kulingana na uwezo wetu, napaswa kuongoza kwa kuwa mstari wa mbele, gharama ilikuwa ndogo kuliko kusafiri kwa KQ.” Amesema Rais Ruto kupitia ukurasa wake wa X leo Jumapili Mei 26, 2024
Mapema wiki iliyopita Rais Ruto alifanya ziara nchini Marekani na alikaribishwa na mwenyeji wake Rais Joe Biden.
Rais William Ruto, amesema sababu ya kutumia ndege ya kifahari inayomilikiwa nchini Dubai kwenda Marekani ni kwa sababau gharama zake ni nafuuu ikilinganishwa na ndege ya Kenya ya KQ. Kwa jumla inakisiwa usafiri kupitia ndege hiyo ya kifahari uligharimu zaidi ya Ksh200M.
Related Posts 📫
Dar es salaam
Hujambo Mtanzania popote pale ulipo kwenye jamhuri...
MAPENZI
NAKUKUMBUSHA TU SI KWA UBAYA
Usikubali kuoana na mbadala maana...
Pang Ron-Su Yin have struggled in higher tier competitions since...
MAGAZETI.
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Popular Media personality and entrepreneur Toke Makinwa has turned to...