Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai ya kutumia gharama kubwa kwenda kwenye ziara Marekani kwa kukodi ndege binafsi huku akibainisha gharama ingekuwa kubwa zaidi kama angetumia ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ).

0:00

9 / 100

“Wakenya wenzangu, nimeona wasiwasi wenu kuhusu njia yangu ya usafiri hadi Marekani. Kama msimamizi anayewajibika wa rasilimali za umma na kulingana na azimio langu la kuishi kulingana na uwezo wetu, napaswa kuongoza kwa kuwa mstari wa mbele, gharama ilikuwa ndogo kuliko kusafiri kwa KQ.” Amesema Rais Ruto kupitia ukurasa wake wa X leo Jumapili Mei 26, 2024

Mapema wiki iliyopita Rais Ruto alifanya ziara nchini Marekani na alikaribishwa na mwenyeji wake Rais Joe Biden.

Rais William Ruto, amesema sababu ya kutumia ndege ya kifahari inayomilikiwa nchini Dubai kwenda Marekani ni kwa sababau gharama zake ni nafuuu ikilinganishwa na ndege ya Kenya ya KQ. Kwa jumla inakisiwa usafiri kupitia ndege hiyo ya kifahari uligharimu zaidi ya Ksh200M.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

KURASA ZA MAGAZETI YA JUMAPILI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Who is Ismail Haniyah?
Ismail Haniyah can rot in Hell. Good Riddance! Hamas leader Haniyah...
Read more
MAMBO 5 USIYOYAFAHAMU KUHUSU SIKU YA WANAWAKE...
MAKALA Kila mwaka tarehe 8 Machi ni Siku ya Kimataifa...
Read more
TANZANIA YAIBABUA NIGER
MICHEZO Tanzania imeanza vyema kampeini za kufuzu fainali za kombe...
Read more
RARE PHOTO OF KATHERINE JACKSON
OUR STAR 🌟 A young Katherine Jackson (right), matriarch of...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Zimbabwean government imposes a ban on radio and television advertisements promoting prophets and traditional healers.

Leave a Reply