Bilionea Larry Connor aandaa mpango wa kuzama baharini kuyaona masalia ya meli ya Titanic

Bilionea Larry Connor wa Marekani anajipanga kwenda chini ya Bahari kwa kutumia Manowari licha ya ajali mbaya iliyotokea Juni 2023 ambapo watu watano walifariki dunia. Connor, atasafiri kwa kutumia Manowari…

Continue ReadingBilionea Larry Connor aandaa mpango wa kuzama baharini kuyaona masalia ya meli ya Titanic

Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Sababu kubwa ni kwamba tarehe hizo Baba wa Taifa hilo "Kim Il-Sung" na "Kim Jong-Il" walifariki, hivyo ni onyo kuonesha dalili yoyote ya furaha kama ni siku yako ya kuzaliwa.…

Continue ReadingNchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

Lengo la Uenyekiti huo ni kuhamasisha amani miongoni mwa watanzania bila kubagua dini, Madhehebu, mila, Viongozi wa Chama na serikali, Wabunge na wananchi kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia hadi…

Continue ReadingMke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.