0:00
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo nyota wa Azam FC, Feisal Salum aliyemaliza na mabao 19
Aziz Ki amepachika mabao matatu kwenye ushindi wa 4-1 walioupata Yanga SC mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu wakati Feisal Salum akifunga bao moja kwenye ushindi wa 2-0 ugenini waliovuna Azam FC mbele ya Geita Gold FC
Kabla ya hapo nyota hao wawili walikuwa wakilingana mabao baada ya kila mmoja kufunga mabao 18.
Related Posts 📫
4 KEYS TO RELATING CORDIALY WITH A MAN IN A...
President Bola Tinubu has approved the National Construction and Household...
Ghana has ushered in a new chapter of its democratic...
SPORTS
Just a few months ago, Chelsea's Nicholas Jackson was...
Duvan Zapata's shot was saved by goalkeeper Marco Carnesecchi but...