𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂 𝗱𝗶𝘃𝗲𝗿𝘁 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 ?
Unajua Kuna wakati unakuta uko mbali na simu yako kwa njia Moja hama nyingine unataka mtu akikupigia basi asipokupata kwenye namba Moja akupate kwenye namba nyingine ?
Ila watu wengi wanaitumia ndivyo sivyo kwani wanaitumia kufuatilia mtu mawasiliano ya watu wao wa karibu 😔 !! Hivyo tumia kwenye njia iliyo sahihi 😁 jamani .
Maana watu wananitumia sana ujumbe mara simu zao zinandika call forwarding wakati anapigiwa au anapopiga 😅 jmn
Njia hii inafanya Kazi hakikisha simu yako Ina angalau Salio la kiasi cha shilingi 100 na kuendelea hivyo ikiwa unataka ku forward simu Moja kwenda nyingine hakikisha una kotekote Salio la kawaida kuanzia shilingi mia na kuendelea
Code za kutumia ku forward 👇
- 21namba ya simu# ✓
inafanya Kazi ya ku forward simu yako ikiwa hiko busy line yako au haipatikani - 67namba ya simu # ✓
Hii inafanya Kazi pale ambapo simu yako hiko busy maana yake unapokuwa unatumika au unapokata simu - 62 namba ya simu # ✓
Inafanya Kazi pale tu simu yako hiko kwenye maeneo ambayo isiyo na mawasiliano au uko nje ya nchi Fulani ambapo simu yako haishiki huo mtandao wako. - 61 namba ya simu # ✓
Code hii inafanya Kazi kuweza kuforward simu ikiwa tu upokei simu yako unapopigiwa basi code inafanya Kazi ya kuhamisha mawasiliano kwenye namba nyingine. - 004 namba yq simu # ✓
Huweza kufanya kazi pale tu simu inapokuwa busy Yani simu upokei au huko kwenye maeneo ambayo network inasumbua .
Ikiwa unataka kuondoa kwenye mfumo wa call forwarding basi tumia njia hii itakusaidia sana bonyeza ##002# , #21#, #61# nk