FAMILIA YA JOSHUA KIRUI YAKATAA KUZIKA MWILI WAKE

0:00

4 / 100

Familia ya Mpanda Milima, Joshua Cheruiyot Kirui, aliyefariki wakati akipanda Mlima Everest Mei 22, 2024, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari za mchakato wa kuurejesha mwili wake nchini humo

Cheruiyot alianguka kwenye Ufa uliopo umbali wa Mita 48 kutoka kwenye Kilele cha mlima huo wenye Mita 8,848.86 ambapo imeelezwa kuurejesha mwili wake kutoka umbali huo itakuwa ni hatari kwa timu ya uokoaji, na familia haipo tayari kuhatarisha maisha ya wengine

Inakadiriwa kuwa karibu miili 200 kati ya wapandaji 330 waliofariki kwenye mlima Everest ambao ndio mrefu zaidi duniani, bado ipo katika eneo hilo

Inaelezwa kuwa gharama za kuurejesha mwili ni Ksh. Milioni 9 (takriban Tsh. Milioni 178) na itahitaji Watu 8 kupanda juu na kubeba mwili huo. Kutokana na hilo, Familia nyingi zinazopoteza wapendwa wao huamua kuwaacha huko

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

FELICIEN KABUGA AACHILIWA HURU ...
Habari Kuu. Rwanda iliamua kwamba inashikilia uamuzi wa kusimamisha kesi...
Read more
MOMENTS TO TOUCH YOUR WOMAN'S BUTT
11 MOMENTS TO TOUCH YOUR WOMAN'S BUTT A woman's butt is...
Read more
Tomas Tuchel akanusha tetesi za kuombwa kusalia...
MICHEZO "Imekuwa bahati kuwa hapa, lakini lazima niseme ukweli, kwa...
Read more
BEIDA DAHANE ALIYEWANYONGA YANGA APETA CAF
MICHEZO Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limemtangaza Mwamuzi kutoka...
Read more
AYRA STARR EXCITES FANS AS SHE HINTS...
CELEBRITIES Popular Afrobeat singer, Ayra Starr leaves fans in eager...
Read more
See also  MCHEKESHAJI WA NIGERIA "MR IBU" APATWA NA MKASA MZITO

Leave a Reply