0:00
Real Madrid wamefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa kuichapa Dortmund kichapo cha mabao 2-0 magoli yaliyofungwa na Carvajal dakika ya 73 na Vinicius Jr dakika ya 82.
Ubingwa huo unakamilisha jumla ya makombe 15 ya UEFA ambayo Real Madrid ameyatwaa na kuzidi kujikita kwenye kilele cha timu iliyochukua kombe hilo mara nyingi zaidi akifuatiwa na Inter Milan aliyetwaa kombe hilo Mara 7.
Related Posts 📫
NAIROBI, Kenya - Seneta wa Meru Kathuri Murungi amewashauri wabunge...
NYOTA WETU
Polisi nchini Marekani wanaendelea na uchunguzi juu ya...
Deputy President Rigathi Gachagua is preparing to face the Senate...