Licha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

Mashindano ya CAF msimu wa 2024/25 yataanza kwa raundi ya awali kati ya Agosti 16 hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024.…

Continue ReadingLicha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amempa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina siku 10 (hadi Juni 14 mwaka huu) kuthibitisha madai yake kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amelidanganya Bunge.

Mvutano mkali umeibuka bungeni leo Juni 4, 2025 kati ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusu kiwango cha sukari ambacho nchi imeagiza kwa ajili…

Continue ReadingSpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amempa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina siku 10 (hadi Juni 14 mwaka huu) kuthibitisha madai yake kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amelidanganya Bunge.

Netizens drag Helen Paul for saying “women’s salaries be paid into their husband’s ” accounts

Comedian and actress, Helen Paul, has attracted backlash after suggesting that women’s salaries be sent straight into their partners’ bank accounts. The comedian brought up the concept and asked other…

Continue ReadingNetizens drag Helen Paul for saying “women’s salaries be paid into their husband’s ” accounts

Ubalozi wa Tanzania Korea wakanusha taarifa ya VOA kuhusu mkataba wa kuhusisha bandari na madini

Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo. Katika…

Continue ReadingUbalozi wa Tanzania Korea wakanusha taarifa ya VOA kuhusu mkataba wa kuhusisha bandari na madini