Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

0:00

SIASA

Tume Huru ya uchaguzi nchini Rwanda imewaidhinisha watu watatu katika kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao mwezi Julai.

Paul Kagame kutoka chama cha FPR , Frank Habineza wa chama cha Democratic Green Party na Philippe Mpayimana mgombea binafsi ndio walioidhinishwa na tume huye licha ya Rais Paul Kagame kupewa nafasi kubwa na kushinda tena uchaguzi.

Ambao waliondolewa kwa kushindwa kuonyesha vyeti vyao halali vya kuzaliwa na wadhamini ambao hawajatimiza matakwa ya tume wanaweza kukata rufaa ndani ya siku tano.

Wagombea sita kati ya tisa waliokuwa wamepeleka vyeti vyao ndio ambao wamekutwa wakiwa hawajakidhi vigezo vya kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwezi Julai 15,2024.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ZUCHU AFUNGIWA KUFANYA MZIKI
NYOTA WETU Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la...
Read more
PEP GUARDIOLA AUKUBALI MZIKI WA CHELSEA ...
MICHEZO Kocha wa Manchester City akizungumza kuhusu Chelsea;- "Chelsea walichokifanya kwenye...
Read more
WANAOUZA DAWA BILA BARUA YA DAKTARI WAONYWA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
Read more
Amuua Rafiki Yake Kisa Milioni 61
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata...
Read more
SANAMU LA KYLIAN MBAPPE LAZUA GUMZO DUNIANI
MICHEZO Mchezaji wa zamani wa PSG, Kylian Mbappe siku ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekutwa na hatia ya uharifu kwa mashtaka ya jinai 34

Leave a Reply