0:00
Diane Rwigara Mwanamke pekee aliyekuwa ameweka nia ya kugombea katika kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Rwanda, amemlaumu Rais Paul Kagame Kwa kuwa chanzo cha kuondolewa katika kinyang’anyiro hicho.
Baada ya kuwekwa hadharani kwa orodha ya walioidhinishwa na tume huru ya uchaguzi nchini Rwanda, kupitia mtandao wa kijamii wa X ameandika kuwa “Kagame kwanini hutaki nigombee”?
Tume huru ilisema kuwa Bi.Diane alikosa sifa za kuwania Urais kutokana na kushindwa kuonyesha nyaraka kuhusu kuondolewa mashitaka ya uhalifu dhidi yake.
Juni 7 ndio tume huru ya uchaguzi ilipotangaza majina matatu ya muda ya wagombea kuelekea katika Urais ambao umepangwa kufanyika mwezi Julai 15,202
Related Posts 📫
The 17-year-old established himself in the La Blaugrana first team...
Nigerian music sensation, Rema, recently made headlines with a generous...
Biden announced on his official X page on Sunday, shortly...
MICHEZO
Klabu ya Chelsea iko tayari kumuuza Trevoh Chalobah kwa...