0:00
Safia amemtangaza Pele kushinda nafasi hiyo leo Jumamosi, Juni 08, 2024 usiku katika ukumbi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Lumumba mkoa wa mjini Magharib Unguja.
Amesema kuwa mshindi huyo amepata kura 7,092 akifuatiwa na mgombea wa chama ADC kura 83 na kufuatiwa na Ada Tadea kura CUF kura 79.
“ Chama CCK kura 21, Demokrasia Makini kura 14 , DP kura 7, NRA kura 8 na NLD kura 5,” amesema.
“Kwa mujibu wa mamlaka nilionayo napenda kumtangaza ndugu Khamis Yusuf Mussa kuwa Mbunge wa jimbo la kwahani Unguja akiongoza idadi ya kura 7,092,” amesema.
Related Posts 📫
LOVE ❤
WHAT MAKES A WOMAN UNATTRACTIVE 1. LOOSENESSA woman...
Wolves granted the winger all the space he wanted to...
Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la...