DiscoverCars.com                                                                       

MAKONDA ATOA MBINU HIZI KUONGEZA KASI YA WATALII ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa muda wa miezi miwili kwa Vyombo husika chini ya R.T.O kuhakikisha kila gari la TAXI linalofanya kazi katika Mkoa wa Arusha linakuwa na rangi maalum tofauti na ilivyo sasa ambapo amesema TAXI zina rangi tofautitofauti zinazopoteza mandhari na uzuri wa utalii. Makonda ameyasema haya leo June 8 […]