USAIN BOLT APATWA NA MAJERAHA KWENYE MCHEZO WA HISANI

0:00

9 / 100

Mwanariadha Mkongwe wa Jamaica na Bingwa wa zamani wa Olimpiki Usain Bolt, ameonyesha athari za jeraha alilolipata jana wakati akicheza soka katika mechi ya hisani.

Katika kipindi cha pili, Bolt aliumia na kutolewa uwanjani akiwa amebebwa kwenye machela.

Mechi hiyo iliyochezwa huko Stamford Bridge jijini London ilihusisha watu mashuhuri wakiwemo wachezaji wa zamani.

Mechi hiyo ilikuwa na lengo la kuchagia fedha za misaada kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la watoto (UNICEF) jambo ambalo lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Baadhi ya watu waliocheza katika mechi hiyo ni pamoja na Mo Farah, Danny Dyer,Jermaine Defoe na Theo Walcott.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Barca's 4-1 triumph over Bayern boosts confidence...
BARCELONA, - Barcelona manager Hansi Flick said their commanding 4-1...
Read more
'Real Reason I started smoking’ – Rema
Afrobeats star Divine Ikubor, popularly known as Rema, has opened...
Read more
Bayern's Kompany hails exceptional rise of Yamal...
BARCELONA, Spain, 🇪🇸 - The meteoric rise of Barcelona winger...
Read more
KOCHA MIGUEL GAMONDI ATAJA ORODHA YA WACHEZAJI...
MICHEZO Taarifa kutoka ndani Young Africans ni kwamba kocha mkuu...
Read more
RIHANNA AMPA JAY Z TUZO ...
MICHEZO Jay-Z ameshinda tuzo yake ya tatu ya Emmy kwa...
Read more
See also  SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

Leave a Reply