JE KUDONDOKA KWA MATITI YA MWANAMKE KUNASABABISHWA NA KUSHIKWASHIKWA NA MWANAUME?

0:00

9 / 100

Kuanguka baada ya kushikwa na wanaume.

Kumekuwepo na dhana tofauti tofauti kuhusiana na kudondoka Kwa matiti ya mwanamke ambazo hazina ukweli ndani yake;
Kisayansi kudondoka kwa matiti kunaweza kuelezewa kama ifuatavyo.

Ukuaji wa matiti ya mwanamke huongozwa na mfumo wa taarifa za urithi (Genes) pamoja na mfumo wa vichocheo vya mwili (Homoni).

Hakuna mfumo mmoja wa ukuaji wa matiti unaofanana kwa wasichana wote. Baadhi hukua mapema na baadhi huchelewa

Kushikwa matiti na wanaume hakuwezi kusababisha kudondoka (kuanguka) kwa matiti, au hata kuongezeka ukubwa wake.

_Ukiondoa Genes na Homoni, mambo mengine kama uzee, kani ya mvutano wa dunia (Gravity).

Uzito mkubwa, umri wa ukomo wa hedhi, kuzaa watoto wengi, kupoteza sana uzito wa mwili pamoja na uvutaji wa sigara ndivyo huweza kusababisha kudondoka kwa matiti.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WAYS TO DO WHEN YOUR HUSBAND DOESN'T...
LOVE TIPS ❤ 13 WAYS TO DO WHEN YOUR HUSBAND...
Read more
WILLIAM RUTO akoshwa na Maandamano atoa Ahadi...
HABARI KUU Rais wa Kenya William Ruto leo June 23,2024 amesema...
Read more
HOW TO SATISFY YOUR MAN
Learn it, practice it. Look deep into his eyes and make...
Read more
COLE PALMER has been spotted soaking up...
The England hero and the blonde bombshell were all smiles...
Read more
Bruno Labbadia turns down Super Eagles job...
German coach Bruno Labbadia has opted against taking the position...
Read more
See also  NAMNA YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI NDANI YA DAKIKA CHACHE!

Leave a Reply