0:00
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) Dk Yahya Nawanda kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo Kikuu kimojawapo jijini Mwanza.
Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Nawanda imetolewa leo Alhamisi Juni 13,2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa.
Kwa mujibu wa Kamanda Mutafungwa, Jeshi hilo linaendelea kumshikilia Dk Nawanda kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma hizo huku uchunguzi wa kina ukiendelea kuhusiana vielelezo vya tukio hilo.
Related Posts 📫
Cristiano Ronaldo became the first player to score 900 top-level...
Many married people are daily regretting and cursing their marriages....
Kujifungua ni tukio muhimu na la kipekee katika maisha ya...
Dar es salaam
Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo...