0:00
Ni jambo zuri sana Wamefanya Klabu Yanga sc kumuongezea mkataba Mauya Najua Wengi mtaanza kunijia Juu Mkihoji Kwa nini Yeye na Sio Vijana wapya Waingie Na nini Na nini…
Labda Tuwakumbushe Zawadi Mauya
Kitaaluma ni Mwanasheria ambaye ni Masters Holder, Pia ni mtu ambaye anaisaidia sana Klabu Hususan katika mambo ya Utafsiri wa Sheria hasa Sheria za Michezoni Katika Upande wa Mpira wa Miguu pia ana Verified Certificate Degree in Laws Kutoka FIFA huyu.
Yanga wanamuanda endapo akistaafu ataendelea kufanya kazi Yanga sc.
.
Related Posts 📫
The Ministry of Education has put in place the necessary...
The 37-year-old, a five-time world and two-time Olympic 100m champion,...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Mabadiliko hayo katika Sekretarieti ya EAC yamefanyika baada kuondolewa kwa...
MICHEZO
Beki wa klabu ya AS Roma, Evan Ndicka raia...