0:00
HABARI KUU
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Tixon Nzunda na dereva wake wamefariki kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la KIA wilayani Hai Mkoani humo.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nane mchana leo Juni 18, 2024.
Dkt. Tixon Tuyangine Nzunda alikuwa katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, nafasi aliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu na kuapishwa 19 Machi, 2023.
Nzunda alizaliwa January 29, 1968 na ameacha mke na watoto wanne. Aliajiriwa na Serikali mwaka 1992 kama afisa msaidizi wa elimu daraja la tatu na tangu hapo ameshika nafasi kadhaa ikiwemo katibu mkuu msaidizi utumishi, katibu tawala mkoa wa Rukwa na naibu katibu mkuu Serikali za mitaa
Related Posts 📫
YOU DON'T APOLOGIZEIf you care about your partner, it will...
MICHEZO
Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa...
President William Samoei Ruto has revealed his new Cabinet nominations,...
The Red Devils have already added Leny Yoro in a...
Mshambuliaji na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian...