0:00
MICHEZO
BREAKING NEWS.
COASTAL UNION WADAI LAWI BADO NI MCHEZAJI WAO.
Licha ya klabu ya Simba SC kumtambulisha beki, Lameck Lawi leo jioni, usiku huu viongozi wa Coastal Union wamesema wao wanatambua kuwa Lameck Lawi bado ni mchezaji wao halali na watamtumia msimu ujao.
“Ni kweli tulikuwa na mawasiliano na Simba lakini walishindwa kufikia ofa tuliyotaka. Lameck Lawi ni moja ya nguzo muhimu kwenye timu havyo hatuna mpango wa kumuuza”
“Tumeona hizo taarifa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki kwa mashariki wetu, tunawaomba mashariki watulue, Lawi ni mchezaji wa Coastal Union hatufikirii kumuuza”
©️ Hassan Wamba.
Msemaji wa Coastal Union
SIFA ZA LAMECK LAWI
.
KUHUSU LAMECK LAWI
🔴Ni mchezaji Bora chipukizi wa MSIMU uliopita NBC premier league
🔴Ana umri wa miaka 18 na urefu wake ni futi 6
🔴Anatumia mguu wa kushoto
🔴Pia ana uwezo wa kucheza NAFASI 3 uwanjani kiungo mkabaji, beki WA kushoto na beki wa kati
🔴Msimu uliopita akiwa coastal union kaisaidia sana kumaliza kwenye NAFASI ya 4 ambapo msimu uliopita coastal union ndo timu ya pili kuruhusu goli chache
Huu ni USAJILI mzuri sana kwa SIMBA kijana ana sifa zote za beki wa kisasa kuzuia✅, kupandisha timu✅, slide tackling ✅,mipira ya vichwa✅ , kuwin mipira ya one v one✅
Related Posts 📫
CELEBRITIES
Canadian Senate commends Burna Boy after he sold out...
The Republic of Ireland international has penned a five-year deal...
HABARI KUU
Madereva na wamiliki wa vyombo vya moto mkoani...
With the noisy discontent around FIFA’s new Club World Cup...
Stockport assistant coach Andy Mangan has been denied a move...