NYOTA WETU
Ndilo swali la wengi baada ya Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Wasafi FM, Diva kuwaaga wasikilizaji wake.
Kupitia Instagram, Diva amemshukuru Mkurugenzi wa Wasafi Media, Diamond Platnumz kwa kumpa nafasi. Chini ni kile alichoandika.
Hellow watu wangu wa Lavidavi
Napenda kuchukua fursa hii kuwaaga rasmi, nitawamiss sana, tumekuwa wote toka 7/6/2021 mlinipokea kwa furaha sana na kiukweli mtabakia kuwa sehemu ya maisha yangu.
Nitakumbuka hasa interviews zote ambazo nilizifanya it was such a great honor kiukweli kuwa oamoja nanyi, exclusive zilikuwa nyingi sana, lakini zaidi niseme sms zenu za kuchagua nyimbo na kuomba msaada wa kimahusiano nitazikumbuka zaidi na zaidi.
Naushukuru uongozi mzima wa Wasafi Media Kwa Kuwa Na Mimi Kwa Upendo kabisa kwa muda wote huo, shukran za dhati kwa my Bawse 1 n Only Diamond Platnumz kwa kunipa nafasi nzuri ya kurudi hewani na kuamini katika talent na ubunifu na kufanya kazi kwa bidii.
Nimejifunza sana vingi kutoka kwake, he is truly one of a kind, a role model but mostly Tanzania One , I’ll forever cherish the airwaves, I’ll forever cherish you and I am so Thankful , I’ll always love n support you and You’ll always have a very special Place in My heart.
Lakin nishukuru Pia wafanyakaz wenzangu, djs, and My Producer Director onesmo.
I know this might come as a shock but made decision to depart ways and kuangalia fursa zingine.
as a business woman have alot to do as well and ntaendelea shukuru hasa ushirikiano wenu kwangu.
Safari ya diva inaitimika WASAFI MEDIA kwa takribani miaka minne lakini chanzo cha kuaminika kimeonyesha ni kuwa Diva huenda akajiunga na Media ya mpenzi wake wa zamani Ali kiba ambaye ni mwanzilishi wa Crown Fm na Crown TV.