0:00
Mchekeshaji maarufu aliyegeukia siasa, Dkt. Micheal Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika bungeni katika mji mkuu wa Lilongwe.
Dkt. Usi mwenye umri wa miaka 55 anachukua nafasi ya Saulos Chilima, aliyefariki dunia katika ajali ya ndege hivi karibuni pamoja na watu wengine wanane.
Dkt. Usi alishangiliwa sana alipozungumza kwa mara kwanza baada ya kuapishwa akisema amelikubali jukumu hilo kwa mchanganyiko wa huzuni na shukurani.
Aliahidi kuheshimu kumbukumbu ya mtangulizi wake na kumshukuru Rais Lazarus Chakwera kwa kumwamini anapochukua nafasi yake ya makamu wa rais katika serikali hiyo ya umoja wa kitaifa.
Familia ya Dkt. Michael Usi
Related Posts 📫
NYOTA WETU.
Msanii Diamond Platinum ameshinda tuzo ya Msanii bora Afrika...
NYOTA WETU.
Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne amemchagua...
MICHEZO
Meneja wa Habari na Mawasiliani Yanga SC, Ally Kamwe...
HABARI KUU
Watekaji nyara nchini Nigeria wameomba walipwe Naira Bilioni...
OUR STAR 🌟
U.S. rapper Sean “Diddy” Combs is enmeshed...