0:00
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa mbele ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM
Msigwa amehamia CCM ikiwa ni wiki chache tangu akose nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa katika Uchaguzi uliompa ushindi Joseph Mbilinyi (Sugu)
Aidha, hatua hiyo inafuatia madai ya siku za hivi karibuni yaliyoeleza kuwa Mbunge huyo wa zamani alikuwa na mipango ya kuhamia CCM, ingawa mwenyewe aliwahi kukanusha mara kadhaa.
Related Posts 📫
MICHEZO
Manchester United wameulizia upatikanaji wa Mshambuliaji wa Stuttgart. Sehrou...
Generate Brand Awareness: Daily marketing helps in creating and maintaining...
HABARI KUU
Serikali ya Tanzania imesema hadi kufikia mwezi Machi...
Real Madrid goalkeeper Thibaut Courtois has been diagnosed with an...
HABARI KUU
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma...