Sababu Zinazochangia Wajawazito Kupata Fangasi Ukeni
Fangasi ukeni kwa mjamzito ni mojawapo ya maambukizi kwenye uke yanawatokea sana wajawazito kutokana na aidha mabadiliko ya homoni za uzazi au mabadiliko ya mazingira ukeni (changes in vaginal pH).…